Machapisho
Mwelekeo wa mvua za Msimu (Nov, 2021 - Aprili, 2022) kwa maeneo ya kusini mwa mkoa wa Morogoro na Wilaya zake
PakuaKwa ujumla mvua za wastani hadi chini ya wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya kusini mwa mkoa wa Morogoro.
Mvua zinatarajiwa kuanza katika wiki ya pili ya mwezi Novemba, 2021.
Mvua zinatarajiwa kuisha katika wiki ya kwanza ya mwezi Aprili, 2022.
Vipindi vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu.
Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua