Machapisho

Mwelekeo wa mvua za Msimu (Nov, 2021 - Aprili, 2022) kwa mkoa wa Katavi na Wilaya zake

Pakua

Kwa ujumla mvua za chini ya wastani hadi wastani zinatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya mkoa wa Katavi.

Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya tatu ya mwezi Novemba, 2021 na kuisha wiki ya pili ya mwezi Aprili, 2022.

Vipindi virefu vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu.

Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua