Machapisho

Mwelekeo wa mvua za Msimu (Nov, 2021 - Aprili, 2022) kwa mkoa wa Ruvuma na Wilaya zake

Pakua

Kwa ujumla mvua za wastani hadi chini ya wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Ruvuma.

Mvua zinatarajiwa kuanza katika wiki ya tatu ya mwezi Novemba, 2021.

Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya nne ya mwezi Machi, 2022.

Vipindi vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu.

Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua