Machapisho

Mwelekeo wa mvua za Msimu (Nov, 2021 - Aprili, 2022) kwa mkoa wa Mtwara na Wilaya zake

Pakua

Mvua za wastani hadi chini ya wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Mtwara.

Mvua zinatarajiwa kuanza katika wiki ya pili ya mwezi Novemba, 2021.

Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya pili ya mwezi Aprili, 2022.

Vipindi vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu.

Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua