Machapisho
Mwelekeo wa mvua za Msimu (Nov, 2021 - Aprili, 2022) kwa mkoa wa Dodoma na Wilaya zake
PakuaKwa ujumla mvua za chini ya wastani hadi wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Dodoma.
Mvua zinatarajiwa kuanza kati ya wiki ya pili na tatu ya mwezi Disemba, 2021.
Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya tatu ya mwezi Aprili, 2022.
Vipindi virefu vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu.
Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua