Machapisho

MWELEKEO WA MVUA ZA VULI (OKTOBA - DESEMBA), 2025 KWA MAENEO YA KASKAZINI MWA MKOA WA MOROGORO NA WILAYA ZAKE

Pakua

Dondoo
(i). Kwa ujumla mvua za Wastani hadi Chini ya Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya kaskazini mwa mkoa wa Morogoro.
(ii). Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza na ya pili ya mwezi Novemba, 2025.
(iii). Mvua zinatarajiwa kuisha mwezi Januari, 2026.
(iv). Vipindi virefu vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu wa Vuli.