Machapisho

MWELEKEO WA MVUA ZA VULI (OKTOBA - DESEMBA), 2025 KWA MKOA WA MJINI MAGHARIBI NA WILAYA ZAKE

Pakua

(i). Kwa ujumla mvua za Wastani hadi Chini ya Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Mjini Magharibi.
(ii). Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza na ya pili ya mwezi Novemba, 2025.
(iii). Mvua zinatarajiwa kuisha mwezi Januari, 2026.
(iv). Vipindi vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu wa Vuli.