Machapisho
MWELEKEO WA MVUA ZA VULI (OKTOBA - DESEMBA), 2025 KWA MKOA WA KUSINI, PEMBA NA WILAYA ZAKE
PakuaDondoo
(i). Kwa ujumla mvua za Wastani hadi Chini ya Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Kusini Pemba.
(ii). Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza na ya pili ya mwezi Novemba, 2025.
(iii). Mvua zinatarajiwa kuisha mwezi Januari, 2026.
(iv). Vipindi vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu wa Vuli.