Machapisho
MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA VULI (OKTOBA – DESEMBA), 2025 KWA MAENEO YA KASKAZINI MWA MKOA WA KIGOMA
PakuaDondoo
(i)Kwa ujumla mvua za Wastani hadi Juu ya Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya kaskazini mwa mkoa wa Kigoma.
(ii)Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza na ya pili ya mwezi Oktoba, 2025.
(iii)Mvua zinatarajiwa kuisha mwezi Januari, 2026.
(iv)Upo uwezekano wa kutokea vipindi vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi katika msimu huu wa Vuli, 2025.
Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua.