Machapisho

MWELEKEO WA MVUA ZA VULI (OKTOBA - DESEMBA), 2025 KWA MKOA WA DAR ES SALAAM NA WILAYA ZAKE

Pakua

Dondoo
(i). Kwa ujumla mvua za Wastani hadi Chini ya wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Dar es Salaam.
(ii). Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza na ya pili ya mwezi Novemba, 2025.
(iii). Mvua zinatarajiwa kuisha mwezi, Januari 2026.
(iv). Vipindi vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu wa Vuli.