Machapisho

MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA VULI (OKTOBA – DESEMBA), 2025 KWA MKOA WA SIMIYU

Pakua

Dondoo

(i).Kwa ujumla mvua za Wastani hadi Chini ya Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Simiyu.

(ii).Mvua zinatarajiwa kuanza wiki yan nne ya mwezi Oktoba, 2025.

(iii).Mvua zinatarajiwa kuisha mwezi Januari, 2026.

(iv).Vipindi virefu vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu wa Vuli, 2025.

Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua.