Machapisho
MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA VULI (OKTOBA – DESEMBA), 2025 KWA MKOA WA GEITA
PakuaDondoo
(i).Kwa ujumla mvua za Wastani hadi Juu ya Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Geita.
(ii).Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza na ya pili ya mwezi Oktoba, 2025.
(iii).Mvua zinatarajiwa kuisha mwezi Januari, 2026.
(iv).Vipindi virefu vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu wa Vuli.
Kwa taarifa zaidi tafadhali pakta..