Machapisho

MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA (MACHI – MEI), 2025 KWA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

Pakua

(i)Kwa ujumla mvua za Wastani hadi Chini ya Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Kaskazini Unguja.

(ii)Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza na ya pili ya mwezi Machi, 2025.

(iii)Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya tatu na ya nne ya mwezi Mei, 2025.

(iv)Upo uwezekano wa kutokea vipindi vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi katika msimu huu wa Masika, 2025.