Machapisho

MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA (MACHI – MEI), 2024 KWA MKOA WA MANYARA

Pakua

(i)Kwa ujumla mvua za Wastani hadi Juu ya Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Manyara.

(ii)Mvua zinatarajiwa kuanza kati ya wiki ya pili na ya tatu ya mwezi Machi, 2025.

(iii)Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya kwanza ya mwezi Mei, 2025.

(iv)Upo uwezekano wa kutokea vipindi vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi katika msimu huu wa Masika, 2025.