Machapisho

MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2024 – APRILI, 2025) KWA MKOA WA KATAVI

Pakua

(i) Kwa ujumla mvua za wastani hadi chini ya wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Katavi.
(ii) Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza ya mwezi Novemba, 2024.
(iii) Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya kwanza ya mwezi Mei, 2025
(iv) Upungufu wa mvua unatarajiwa katika nusu ya kwanza ya msimu (Novemba, 2024 - Januari, 2025).