Machapisho

MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2024 – APRILI, 2025) KWA MKOA WA KIGOMA

Pakua

(i) Kwa ujumla mvua za wastani hadi chini ya wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Kigoma.
(ii) Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya nne ya mwezi Oktoba, 2024.
(iii) Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya kwanza ya mwezi Mei, 2025.
(iv) Upungufu wa mvua unatarajiwa katika nusu ya kwanza ya msimu (Novemba, 2024 - Januari, 2025).