Machapisho
MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2024 – APRILI, 2025) KWA MKOA WA MTWARA
Pakua(i) Kwa ujumla mvua za wastani hadi juu ya wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Mtwara.
(ii) Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza na ya pili ya mwezi Novemba, 2024
(iii) Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya kwanza ya mwezi Mei, 2025.
(iv) Upungufu wa mvua unatarajiwa katika nusu ya kwanza ya msimu (Novemba, 2024 - Januari, 2025).