Machapisho
MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2024 – APRILI, 2025) KWA MKOA WA LINDI
Pakua(i) Mvua za wastani hadi chini ya wastani zinatarajiwa katika maeneo ya kaskazini na mashariki, na za wastani hadi juu ya wastani kusini na magharibi mwa mkoa wa Lindi.
(ii) Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza na ya pili ya mwezi Novemba, 2024.
(iii) Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya nne ya mwezi Mei, 2025.
(iv) Upungufu wa mvua unatarajiwa katika nusu ya kwanza ya msimu (Novemba, 2024 - Januari, 2025).