Machapisho
MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2024 – APRILI, 2025) KWA KWA MAENEO YA KUSINI MWA MKOA WA MOROGORO
Pakua(i)Kwa ujumla mvua za wastani hadi juu ya wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya kusini mwa mkoa wa Morogoro.
(ii)Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza na ya pili ya mwezi Novemba, 2024.
(iii)Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya kwanza ya mwezi Mei, 2025.
(iv)Upungufu wa mvua unatarajiwa katika nusu ya kwanza ya msimu (Novemba, 2024 - Januari, 2025).