Machapisho

MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2024 – APRILI, 2025) KWA MKOA WA NJOMBE

Pakua

(i)Kwa ujumla mvua za wastani hadi juu ya wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Njombe.

(ii)Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza na ya pili ya mwezi Novemba, 2024.

(iii)Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya kwanza ya mwezi Mei, 2025.

(iv)Upungufu wa mvua unatarajiwa katika nusu ya kwanza ya msimu (Novemba, 2024 - Januari, 2025).