Machapisho

MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2024 – APRILI, 2025) KWA MKOA WA DODOMA

Pakua

(i)Kwa ujumla mvua za wastani hadi chini ya wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Dodoma.

(ii)Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya pili na ya tatu ya mwezi Novemba, 2024.

(iii)Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya nne ya mwezi Aprili na ya kwanza ya mwezi Mei, 2025.

(iv)Upungufu wa mvua unatarajiwa katika nusu ya kwanza ya msimu (Novemba, 2024 - Januari, 2025).