Machapisho
MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2024 – APRILI, 2025) KWA MKOA WA RUVUMA
Pakua(i)Kwa ujumla mvua za wastani hadi juu ya wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Ruvuma.
(ii)Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya pili na ya tatu ya mwezi Disemba, 2024.
(iii)Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya kwanza ya mwezi Mei, 2025.
(iv)Upungufu wa mvua unatarajiwa katika nusu ya kwanza ya msimu (Novemba, 2024 - Januari, 2025).