Machapisho
MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA VULI (OKTOBA– DISEMBA), 2024 KWA MKOA WA TANGA
Pakua(i).Kwa ujumla mvua za Chini ya Wastani hadi Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Tanga.
(ii).Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya pili na ya tatu ya mwezi Oktoba, 2024.
(iii).Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya nne ya mwezi Disemba, 2024.
(iv).Vipindi virefu vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu wa Vuli.