Machapisho

MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA VULI (OKTOBA– DISEMBA), 2024 KWA MKOA WA PWANI

Pakua

(i).Kwa ujumla mvua za Chini ya Wastani hadi Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Pwani.

(ii).Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya pili na ya tatu ya mwezi Oktoba, 2024.

(iii).Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya nne ya mwezi Disemba, 2024.

(iv).Vipindi virefu vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu wa Vuli.