Machapisho
MWELEKEO WA MVUA ZA VULI (OKTOBA– DISEMBA), 2024 KWA MKOA WA KASKAZINI PEMBA
Pakua(i).Kwa ujumla mvua za chini ya wastani hadi wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Kaskazini Pemba.
(ii).Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya pili na tatu ya mwezi Oktoba, 2024.
(iii).Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya nne ya mwezi Disemba, 2024.
(iv).Vipindi vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu wa Vuli.