Machapisho

MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA VULI (OKTOBA– DISEMBA), 2024 KWA MKOA WA MANYARA

Pakua

(i).Kwa ujumla mvua za Chini ya wastani hadi wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Manyara.

(ii).Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya tatu ya mwezi Oktoba, 2024.

(iii).Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya nne ya mwezi Disemba, 2024.

(iv).Vipindi vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu wa Vuli.