Machapisho

MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA VULI (OKTOBA– DISEMBA), 2024 KWA MKOA WA KAGERA

Pakua

(i).Kwa ujumla mvua za Wastani hadi Chini ya Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Kagera.

(ii).Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya nne ya mwezi Septemba, 2024.

(iii). Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya tatu na ya nne ya mwezi Disemba, 2024.

(iv). Vipindi virefu vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu wa Vuli.