Machapisho

MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2023 – APRILI, 2024) KWA MKOA WA RUVUMA

Pakua

(i) Kwa ujumla mvua za wastani hadi juu ya wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Ruvuma.

(ii) Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya pili na ya tatu ya mwezi Novemba, 2023.

(iii) Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya pili na ya tatu ya mwezi Aprili, 2024.

(iv) Upo uwezekano wa kutokea vipindi vya ukavu vya siku 10 au zaidi hususan katika miezi ya Februari na Machi 2024.