Machapisho

MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2023 – APRILI, 2024) KWA MKOA WA MTWARA

Pakua

(i) Kwa ujumla mvua za juu ya wastani hadi wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Mtwara.

(ii) Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza na ya pili ya mwezi Novemba, 2023.

(iii) Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya kwanza na ya pili ya mwezi Mei, 2024.

(iv) Upo uwezekano wa kutokea vipindi vya ukavu vya siku 10 au zaidi hususan katika mwezi Februari 2024.