Machapisho

MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2023 – APRILI, 2024) KWA MKOA WA SINGIDA

Pakua

(i) Kwa ujumla mvua za juu ya wastani hadi wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Singida.

(ii) Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya pili na ya tatu ya mwezi Novemba, 2023.

(iii) Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya pili na ya tatu ya mwezi Aprili, 2024.

(iv) Upo uwezekano wa kutokea vipindi vya ukavu vya siku 10 au zaidi hususan katika mwezi Februari, 2024.