Machapisho
MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2023 – APRILI, 2024) KWA MKOA WA TABORA
Pakua(i)Kwa ujumla mvua za juu ya wastani hadi wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Tabora.
(ii)Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya nne ya mwezi Oktoba na ya kwanza ya mwezi Novemba, 2023.
(iii)Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya tatu na ya nne ya mwezi Aprili, 2024.
(iv)Upo uwezekano wa kutokea vipindi vya ukavu vya siku 10 au zaidi hususan katika mwezi Februari, 2024.