Machapisho
MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2023 – APRILI, 2024) KWA MKOA WA NJOMBE
Pakua(i)Kwa ujumla mvua za wastani hadi juu ya wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Njombe.
(ii)Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya pili na ya tatu ya mwezi Novemba, 2023.
(iii)Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya pili na ya tatu ya mwezi Aprili, 2024.
(iv)Upo uwezekano wa kutokea vipindi vya ukavu vya siku 10 au zaidi hususan katika mwezi Februari, 2024.