Machapisho

MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA VULI (OKTOBA – DISEMBA), 2023 KWA MKOA WA MANYARA

Pakua

(i)Msimu huu unatarajiwa kutawaliwa na hali ya El Nino ambayo inatarajiwa kuwa na mchango mkubwa katika mwenendo wa mvua za msimu wa Vuli, 2023.

(ii)Kwa ujumla mvua za Wastani hadi Juu ya Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Manyara.

(iii)Mvua zinatarajiwa kuanza kati ya wiki ya pili na ya tatu ya mwezi Oktoba, 2023.

(iv)Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya kwanza na ya pili ya mwezi Januari, 2024.

(v)Upo uwezekano wa kutokea vipindi vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi katika msimu huu wa Vuli.