Machapisho
MWELEKEO WA MVUA ZA MASIKA (MACHI-MEI) 2023 KWA MKOA WA GEITA
PakuaKwa ujumla mvua zinatarajiwa kuwa za wastani hadi chini ya wastani katika maeneo mengi ya wilaya za mkoa wa Geita. Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza na ya pili ya mwezi Machi, 2023 na kuisha wiki ya nne ya mwezi Mei, 2023.
Kwa taarifa zaidi, pakua