Machapisho

MWELEKEO WA MVUA ZA MASIKA (MACHI-MEI) 2023 KWA MAENEO YA KASKAZINI MWA MKOA WA KIGOMA

Pakua

Kwa ujumla mvua zinatarajiwa kuwa za wastani hadi chini ya wastani katika maeneo mengi ya wilaya za kaskazini mwa mkoa wa Kigoma. Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza ya mwezi Machi, 2023 na kuisha wiki ya nne ya mwezi Mei, 2023.

Kwa taarifa zaidi, pakua