Machapisho
MWELEKEO WA MVUA ZA MASIKA (MACHI-MEI) 2023 KWA MKOA WA ARUSHA
PakuaKwa ujumla mvua zinatarajiwa kuwa za wastani hadi chini ya wastani katika maeneo mengi ya mkoa wa Arusha. Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya pili na ya tatu ya mwezi Machi, 2023 na kuisha wiki ya tatu na ya nne ya mwezi Mei, 2023.
Kwa taarifa zaidi, pakua