Machapisho

MWELEKEO WA MVUA ZA MASIKA (MACHI-MEI) 2023 KWA MKOA WA TANGA

Pakua

Kwa ujumla mvua zinatarajiwa kuwa za wastani hadi chini ya wastani katika maeneo mengi ya wilaya za mkoa wa Tanga. Mvua zinatarajiwa kuanza kati ya wiki ya pili na ya tatu ya mwezi Machi, 2023 na kuisha mwezi Juni, 2023.

Kwa taarifa zaidi, pakua