Machapisho

MWELEKEO WA MVUA ZA MASIKA (MACHI-MEI) 2023 KWA MKOA WA PWANI

Pakua

Kwa ujumla mvua zinatarajiwa kuwa za wastani hadi juu ya wastani katika maeneo mengi ya Wilaya za mkoa wa Pwani. Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya pili na ya tatu ya mwezi Machi, 2023 na kuisha Juni, 2023.

Kwa taarifa zaidi, pakua