Machapisho
MWELEKEO WA MVUA ZA MASIKA (MACHI-MEI) 2023 KWA MKOA WA MJINI MAGHARIBI
PakuaKwa ujumla mvua zinatarajiwa kuwa za wastani hadi juu ya wastani katika maeneo mengi ya mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja. Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya pili na ya tatu ya mwezi Machi, 2023 na kuisha Juni, 2023.
Kwa taarifa zaidi, pakua