Machapisho

MWELEKEO WA MVUA ZA MASIKA (MACHI-MEI) 2023 KWA MKOA WA KASKAZINI PEMBA

Pakua

Kwa ujumla mvua zinatarajiwa kuwa za wastani hadi chini ya wastani katika maeneo mengi ya mkoa wa Kaskazini, Pemba. Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya pili na ya tatu ya mwezi Machi, 2023 na kuisha Juni, 2023.

Kwa taarifa zaidi, pakua