Machapisho
MWELEKEO WA MVUA ZA MASIKA (MACHI - MEI), 2023 KWA MAENEO YA KASKAZINI MWA MKOA WA MOROGORO
PakuaKwa ujumla mvua zinatarajiwa kuwa za wastani hadi juu ya wastani katika maeneo mengi ya Wilaya za kaskazini mwa mkoa wa Morogoro. Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya pili na ya tatu ya mwezi Machi, 2023 na kuisha Juni, 2023.
Kwa melezo zaidi pakua