Machapisho

MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2022 – APRILI, 2023) KWA MAENEO YA KUSINI MWA MKOA WA MOROGORO

Pakua

Kwa ujumla mvua zinatarajiwa kuwa za wastani hadi chini ya wastani katika maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro. Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza na ya pili ya mwezi Disemba, 2022 na kuisha wiki ya nne ya mwezi Aprili, 2023.

Kwa melezo zaidi pakua