Machapisho
MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2022 – APRILI, 2023) KWA MKOA WA SONGWE
PakuaKwa ujumla mvua zinatarajiwa kuwa za wastani hadi chini ya wastani katika maeneo mengi ya mkoa wa Songwe. Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza na ya pili ya mwezi Disemba, 2022 na kuisha wiki ya nne ya mwezi Aprili, 2023.