Machapisho
MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2022 – APRILI, 2023) KWA MAENEO YA KUSINI MWA MKOA WA KIGOMA
PakuaKwa ujumla mvua zinatarajiwa kuwa za chini ya wastani hadi wastani katika maeneo mengi ya mkoa wa Kigoma. Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya tatu na ya nne ya mwezi Novemba, 2022 na kuisha wiki ya nne ya mwezi Aprili, 2023.