Machapisho

MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2022 – APRILI, 2023) KWA MKOA WA TABORA

Pakua

Kwa ujumla mvua zinatarajiwa kuwa za chini ya wastani hadi wastani katika maeneo mengi ya mkoa wa Tabora. Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya tatu na ya nne ya mwezi Novemba, 2022 na kuisha wiki ya nne ya mwezi Aprili, 2023.

Kwa maelezo zaidi pakua