Machapisho
MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2022 – APRILI, 2023) KWA MKOA WA DODOMA
PakuaKwa ujumla mvua zinatarajiwa kuwa za chini ya wastani hadi wastani katika maeneo mengi ya mkoa wa Dodoma. Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya pili ya mwezi Januari, 2023 na kuisha wiki ya nne ya mwezi Aprili, 2023.