Machapisho

MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2022 – APRILI, 2023) KWA MKOA WA RUVUMA

Pakua

Kwa ujumla mvua zinatarajiwa kuwa za chini ya wastani hadi wastani katika maeneo mengi ya mkoa wa Ruvuma. Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza na ya pili ya mwezi Disemba, 2022 na kuisha wiki ya nne ya mwezi Aprili, 2023.

Kwa maelezo zaidi pakua