Machapisho

MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA VULI (OKTOBA - DISEMBA, 2022) KWA MAENEO YA KASKAZINI MWA MKOA WA KIGOMA

Pakua

Kwa ujumla mvua za Chini ya Wastani hadi Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya kaskazini mwa mkoa wa Kigoma. Mvua zinatarajiwa kuanza katika wiki ya nne ya Septemba, 2022. Mvua zinatarajiwa kuisha Januari, 2023. Vipindi virefu vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu wa Vuli.

Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua