Machapisho
MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA VULI (OKTOBA – DISEMBA, 2022) KWA MKOA WA SIMIYU
Pakua Kwa ujumla mvua za Chini ya Wastani hadi Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Simiyu. Mvua zinatarajiwa kuanza katika wiki ya nne ya Oktoba, 2022. Mvua zinatarajiwa kuisha Januari, 2023. Vipindi virefu vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu wa Vuli.
Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua