Machapisho

MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA VULI (OKTOBA – DISEMBA, 2022) KWA MKOA WA SHINYANGA

Pakua

Kwa ujumla mvua za Chini ya Wastani hadi Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Shinyanga.  Mvua zinatarajiwa kuanza katika wiki ya nne ya Oktoba, 2022.  Mvua zinatarajiwa kuisha Januari, 2023.  Vipindi virefu vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu wa Vuli.

Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua